Genesis 39:23

23Msimamizi wa gereza hakujishughulisha tena na kitu chochote kilichokuwa chini ya uangalizi wa Yusufu, kwa sababu Bwana alikuwa pamoja na Yusufu akimfanikisha kwa kila alichofanya.
Copyright information for SwhKC